Kwani lazima awe wa miezi saba tu? Nenda kwenye mashamba ya serikali ila huko wanauza wale wenye mimba tu! Pia huwa wanatolewa kwa order, cha ajabu serikali waivyo matutusa unaweza kukaa sana bila kupata ng'ombe wako. Angalia hizo bei kwenye hicho kiambatanisho. Kwa wewe wa Mbezi ukipata anayetokea Ngerengere ndiye atakufaa maana hali ya hewa zinakaribiana kama siyonana. Usilogwe kuchukua wa Kitulo itakubidi umfungie feni kabisa![/QUOTE