Iko maeneo gani mkuu?Wakuu Salama?
Tuna nyumba ya mzee (alishafariki) huko Mbeya tumeamua kuiuza.
Naomba kujua anayehusika kufanya valuation ya nyumba, niweze kuwatafuta.
Asante.
Kama bado ujampata, nichek. Nitakusaidia kukupatia kijana wangu, maana ndio kazi zake hizo.Wakuu Salama?
Tuna nyumba ya mzee (alishafariki) huko Mbeya tumeamua kuiuza.
Naomba kujua anayehusika kufanya valuation ya nyumba, niweze kuwatafuta.
Asante.
Asante Mkuu.
Nyumba ipo Mbeya, yeye yupo wapi?Kama bado ujampata, nichek. Nitakusaidia kukupatia kijana wangu, maana ndio kazi zake hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona familia nyingi ambazo waliuza mali za wazee, wengi naona wamebakia makapuku kabisaa na wakati wazee wao waliacha mali za kutosha, pia huwa kuna kauli mali ya urithi haiuzwi na ikiuzwa ile pesa hakuna kitu cha maana utafanya nayo,Asante Mkuu.
Tumekomaa nayo kwa miaka 18 isiuzwe.
Kuna mali zingine ziliuzwa na baadhi ya ndugu bila sisi kunufaika, ni nyumba tu iliyokuwa imebaki(nayo walitaka waiuze). Tumeitunza, imetusaidia kma sisi kusoma, na wenyewe madogo pia. Sasa saizi madogo washakuwa wakubwa na wenyewe ndo wanataka iuzwe.
Sijajua kosa litakuwa wapi hapo. Labda, ungesaudia kueleza mkuu laana tutaipataje?