Natafuta mtaalam wa sofa kama hii

Benzoic

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
421
Reaction score
149
Wadau nisaidieni wapi nitapata mtaalamu wa kutengeneza sofa bila kuchakachua material kama sponge na kadhalika. Kama ulishawahi tengenezewa ukakubali kiwango please recommend na nitajie na cost pia.
 
Ukimpata nijulishe na mimi ninamuhitaji.
 
Wadau nisaidieni wapi nitapata mtaalamu wa kutengeneza sofa bila kuchakachua material kama sponge na kadhalika. Kama ulishawahi tengenezewa ukakubali kiwango please recommend na nitajie na cost pia.View attachment 126803

Yanauzwa mbezi tank bovu bondeni laki sita tu
 
Kuna rafiki yangu anatengeza ukitaka niambie nikupe namba yake,anapiga hizo ishu kwa akina bakheresa yaan mzoefu,unipm
 
Mtafute huyo jamaa Anaitwa Sadi yuko a external ubungo sio tapeli na ni muaminifu 0717150055
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…