Mimi ni mwalimu by professional ila niliachaga huo ualimu na kuamua kuendelea na mishe zanguuna elimu gan kwanza tuanzie hapo!
maana kuwa programmer pekeyake hakutoshi!
Hizi language mkuu nazitafutaje mtandaoni maana kila nikijaribu kutafuta sipati mtiririko mzurikuna tutorials nyingi kwenye mtandao .Language simple unaweza ukaanza nayo ni python. Ipo more friendly kwa beginners. Na kujua programming inahitaji juhudi binafsi zaidi ya kufundishwa. Programmer ni kama kuku wa kienyeji, lazima ufahamu namna ya kujitafutia chakula cha ubongo (maarifa). Na pia uwe mzuri katika logic.
W3Schools Online Web TutorialsHizi language mkuu nazitafutaje mtandaoni maana kila nikijaribu kutafuta sipati mtiririko mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Gopogle Programing in python for dummies au beginners. Basically watakuonyesha jinsi ya kuandaa environment kwa ajili ya ku program. Unahitaji kuinstall python interpreter. Program unazoandika zipo kwenye high level langauge. Interpreter kazi yake ku fanya conversion to machine code (0 and 1)Hizi language mkuu nazitafutaje mtandaoni maana kila nikijaribu kutafuta sipati mtiririko mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa skillset yote hiyo atahitaji ahudhurie kozi hata ya diplomaMkuu unahisi ni halali kumlipa huyo mtu laki mbili akufundishe , Website design and development,Application design and development, games, System design and development.
Nahisi ni halali maana yeye ni kuniongoza mfumo mzima unavokuwa nafikiri siku moja moja kwa kila moja inafaa maana nina uelewa wa harakaMkuu unahisi ni halali kumlipa huyo mtu laki mbili akufundishe , Website design and development,Application design and development, games, System design and development.
Ahsante mkuu ebu ni jaribuGopogle Programing in python for dummies au beginners. Basically watakuonyesha jinsi ya kuandaa environment kwa ajili ya ku program. Unahitaji kuinstall python interpreter. Program unazoandika zipo kwenye high level langauge. Interpreter kazi yake ku fanya conversion to machine code (0 and 1)
Python ni ya kuanzia tu. Lakin kama unataka kutengeneza real app. Soma C++ na java. Au C#
You can build a real app with python using frameworks such as Django kwenye back end ingawa atahitaji kitu kingine kwenye front end. Mmoja ya language zinazotunika kwenye implementation ya back end za apps kama Uber na Instagram ni python. Pia it INA good packages of machine learning. C++ is good for understanding the concept of pointers and abstract data types.Python ni ya kuanzia tu. Lakin kama unataka kutengeneza real app. Soma C++ na java. Au C#
Lakin hizo language zinahitaj msuli. Ukilegeza utaachia njian
Sent using Jamii Forums mobile app
You can build a real app with python using frameworks such as Django kwenye back end ingawa atahitaji kitu kingine kwenye front end. Mmoja ya language zinazotunika kwenye implementation ya back end za apps kama Uber na Instagram ni python. Pia it INA good packages of machine learning. C++ is good for understanding the concept of pointers and abstract data types.
Kwa sasa anahitaji msingi yaani aelewe kuhusu programming constructs such as, sequencing, conditions, iteration, function. Learning curve ya python si steep. Akianzana Java au C++ learning curve ipo steep.