Habari wanajukwaa.Natafuta kijana ambaye atakua msimamizi wa biashara ili tushirikiane katika kujenga kampuni yangu ambayo kimsingi bado ni changa.Mimi ni mwanaume na nafanya kazi ya kampuni nyingine mbali kidogo na mjini na kama kijana najaribu kuwa mjasiriamali nje ya mfumo wa ajira.
Location..Mbeya mjini
preference.aliyesomea marketing au mjanja mjanja anayejua namna ya kutafuta pesa
sex: awe mwanamume
kama yeyote aneweza kuwa ready tuwasiliane ili tuone kitu cha kufanya..kwa contact iz
gulliesexpeditions@gmail.com