Ndo nimeumbwa hivo
Najua but cna muda
Pole jaribu sekta nyingine kutongoza kuna elimu yake ikiwa hata basics hujui basi achana nayo!
weeeeeeeh baba naniii kumbe ndo maneno yako hayaaa
Karibu...niko singo!
hizi mingo unazipendaa... nshakutana na ww huku mara ya tano hii doooh na wewe unatafuta nn......
Binafsi moyo wangu ushakuchagua wewe, potelea mbali embu nipe sifa zako za nje tabia zako sitaki kuzijua kwa sasa!
Jion ndo ntakua nae
Chitaji hao nahitaj mke hee
Ni sawa si vibaya nitaona mwanga