Natafuta msichana wa kazi

Natafuta msichana wa kazi

Joined
May 9, 2015
Posts
24
Reaction score
4
Habari zenu nyote
Natafuta msichana wa kazi mwenye umri chini ya 20 awe mkristo full,mwenye heshima na mwenye maadili ya kikikristo na mwenye kuwapenda watoto na wakubwa naye atakuwa ni sehemu ya familia yetu na atalelewa vyema na kupewa haki sawa na wengine"
 
nami nilikuwa na shida hiyohiyo ila sasa nikawaza humu naweza pata wa maigizo tu.
kutwa nzima akawa ni wa kuchati tu tena ogopa sana wanaotoka mbali usiojua hata tabia zao huko watokako.
 
Mshahara kiasi gani? na umeshaandaa mkataba wa mfanya kazi?
 
Mkuu angalia usije ukaletewa spy baada ya mwezi majambazi hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom