gidy boy Member Joined Mar 12, 2014 Posts 39 Reaction score 5 Jul 30, 2015 #1 Mimi ni kijana nina umri wa miaka 25 pia ni mtumishi wa Serikali katika sekta fulani natafuta msichana wa kuishi nae mwenye umri wa kuanzia miaka 18-22 awe tayari kuwa mama wa nyumbani mwaminifu pia akubaliane na kupima VVU.
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 25 pia ni mtumishi wa Serikali katika sekta fulani natafuta msichana wa kuishi nae mwenye umri wa kuanzia miaka 18-22 awe tayari kuwa mama wa nyumbani mwaminifu pia akubaliane na kupima VVU.
nech dan Member Joined Jun 20, 2015 Posts 21 Reaction score 2 Jul 30, 2015 #2 Ilo sharti la mama wa nyumbani siliwezi
Principle girl JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,675 Reaction score 1,754 Aug 9, 2015 #3 hilo la mama wa nyumbani kila kitu utoe ww ni guum thanaaa
M mahmouddy Senior Member Joined Jan 29, 2015 Posts 128 Reaction score 30 Aug 9, 2015 #4 ambae hayupo tayar kuwa mama wa nyumbani,anicheki Pm seriously girl only