kila siku humu mnatafuta wake, ila hamji kusema kama mmepata, au ndio mnakuja na gia ya kuoa kisha mnatafuna na kuwatema kama Big G, ILA kila siku unasema bado tu sijapata kumbe unapanga behewa. mmmh!!!!!!!!!!!!!