Natafuta mshirika

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
Wanaforum leo nimefanikiwa kupata vifaa vyote muhimu kwa ajili ya uchawi na nguvu za kiza

Aliye tayari namkaribisha tuweze kushirikiana kuendeleza hii fani lengo kuu likiwa si kuumiza wala kudhuru viumbe vya Mwenyezi Mungu bali kutafuta njia ambayo tunaweza kuugeuza uchawi kuwa kitu chenye manufaaa

Nataka tulete mapinduzi kwenye nyanja za usafiri, ulinzi, usalama, majanga na kinga mbalimbali, ndoa na mahusiano siasa na michezo dini na imani nk nk
 
Nakumbuka kuna wakati fulani huko London Uingereza kuna kigagula mmoja aliweka tangazo kama wewe kuwa anatafuta mchawi mwenza kwa ajili ya kupiga manyanga...

Sina uhakika kama alipata ila alitoa dau kubwa kwa yoyote atayepata nafasi hiyo...
 
Mimi nilijifunza kitu kinaitwa humanitarian witchcraft visiwa vya shelisheli na kwakweli ni kitu ambacho nilikipenda sana kwakuwa ni aina ya uchawi ambao hauna madhara kwa watu
 
Mkuu huko siko, waachie wenyewe wajaribu mambo na hayo uliyoyataja maana kila siku tuna tangaziwa wameanguka kwenye mapaa
 
Mkuu huko siko, waachie wenyewe wajaribu mambo na hayo uliyoyataja maana kila siku tuna tangaziwa wameanguka kwenye mapaa
naiman64, hawa wanaanguka kwakuwa wana nia ovu na mioyo yao imebeba ubaya na mawazo yao ni ubatili mtupu...! Maono yao ni kuangamiza, kuharibu na kutesa
 
Last edited by a moderator:
mshana jr, vifaaa muhimu ndo vip hivyo ……? Tv asilia au nn.....
 
Last edited by a moderator:
Ngoja kwanza ofisi ichanganye nione maendeleo yakoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…