ThnxUpo vizuri mkuu product nzuri
Soko lipo. NaMkuu soko unalo? I mean resarch yako inasema mzigo utatembea?
1.5 sio issue sana kwa watu cha msingi wawe na uhakika wa faida.
1.5 nini?
Unakadilia kwa mwezi tunaweza kuzalisha mikoba mingapi.?
Uko mkoa gani?
Nimevutiwa na hiyo biashara,na tukielewana nitatoa fedha
1.5 mil nipo Dar faida na soko ni la uwakika naomba tuwasiliane namba hizo juu1.5 nini?
Unakadilia kwa mwezi tunaweza kuzalisha mikoba mingapi.?
Uko mkoa gani?
Nimevutiwa na hiyo biashara,na tukielewana nitatoa fedha
Kwa maelezo ya ziada nimeweka namba hapo juu tafadhari tuwasilianeMkuu hebu toa estimation kidogo ya return after miez mitatu
Wewe ni me au ke?Nahitaji kufungua kiwanda kidogo (home factory) cha kuzalisha Mikoba ya kina mama handbags za kisasa sawa na zile zinazotoka China. Tena zangu zina ubora zaidi. Mimi ni designer wa hizo bidhaa. Kilicho nikwamisha sasa ni mtaji hivyo natafuta mtu wa kushirikiana nae Mimi nitatoa ujuzi pamoja na kusimamia uzalisha. Yeye atoe mtaji. Kiwango cha chini cha mtaji ni 1.5ml. Maelezo zaidi wasiliana nami WhatsApp or call 0622123480 Niko dar es salaam. Soko na faida ni ya uwakika
Kazi yangu
Hiko ni kiwango cha chini cha mtaji kama unakiwango zaidi ya hiyo haizui kuja kwanguInavutia, ila alika watu wa mtaji walau wa mil. 10 upate watu wa maana kama una uhakika na soko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeshapata mbia?Hiko ni kiwango cha chini cha mtaji kama unakiwango zaidi ya hiyo haizui kuja kwangu
BadoMkuu umeshapata mbia?