Natafuta msambazaji wa khanga na vitenge

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,342
Reaction score
1,505
Habari za muda huu wapendwa.
Napenda kuomba "request for quotation" ya vitenge vya kigoma, khanga, res materials, makenzi, n.k Kwa ambaye ni mfanyabiashara au anapenda kufanya biashara na anauwezo wa kusupply malighafi za jamii ya vitenge, khanga na malighafi nyinginezo zinzoendana na hizo naomba uje unipm unipe bei za huduma yako ( request for quotation).
N.B
Tutafanya kazi kwa mkataba maalumu na eneo la mzigo unapohitajika ni mkoa wa Mwanza.
Kwa mwenye uwezo na utayari wa kufanya hiyo biashara anakaribishwa pm.
Nawatakia kazi njema.
 
Ungenyoosha maelezo kidogo,mkuu...(samahani kwa hilo lakini).
Habari za muda.
Mimi nahitaji huduma ya materials kama nilivyojieleza hapo juu namaanisha kwa mfanyabiashara au mtu ambaye yupo tayari kufanya hiyo biashara na mtu au kampuni ambayo yenye uwezo wa kufanya biashara na mimi ndio nimeomba anipm anipe bei ikiwezekana kama anauza materials zaidi ya hayo mfano wa majola sawa tu mimi nahitaji bei, anwani na mawasiliano.
Nikiona unakizi vigezo ambavyo tunaweza kufanya kazi tutatafutana na kufanya kazi.
 
Sawa mkuu,nimekuelewa...kila la kheri.
 
Nitakutafuta, ila vitenge pisi 3 nitakuuzia 25,000. Kanga pisi 2 nitakuuzia 7,000. Ress material, mitandio, vikoi, nitakupa bei. Nijulishe unahitaji quantity kiasi gan kwa kuanzia?
 
Habari za muda huu wapendwa.
Napenda kuomba "request for quotation" ya vitenge vya kigoma, khanga, res materials, makenzi, n.k Kwa ambaye ni mfanyabiashara au anapenda kufanya biashara na anauwezo wa kusupply malighafi za jamii ya vitenge, khanga na malighafi nyinginezo zinzoendana na hizo naomba uje unipm unipe bei za huduma yako ( request for quotation).
N.B
Tutafanya kazi kwa mkataba maalumu na eneo la mzigo unapohitajika ni mkoa wa Mwanza.
Kwa mwenye uwezo na utayari wa kufanya hiyo biashara anakaribishwa pm.
Nawatakia kazi njema.
niaje
 
Back
Top Bottom