fanya biashara yenye uhakika, changamoto chache lkn pia soko lake halisumbui sana. fanya biashara ya kununua na kunenepesha ng'ombe na kuwauza kila baada ya miez mitatu. wanakua wameongezeka kat ya kilo 70 mpaka 90 na kua na best meat ndo hizo nyama zinazouzwa kwenye supamaket na kwa watalii.
Kuwa makini mkuu tulia fanya tafiti ni investment gani ufanye usipokuwa makini utakutana na matapeli watakufyokoa mpunga wote utabaki unalia, ni hayo tu