kev the don
Member
- Aug 3, 2014
- 33
- 6
Mimi ni kijana umri miaka 24, natafuta mrembo humu ndani.
Vigezo.
Umri kuanzia 18~22
Awe mrefu wa wastani ila sio sana , na hata ukiwa mfup kama kistur sio mbaya
Awe mweupe natural sio wa mkorogo ntakupokea
Awe mweusi pia atapokelewa
Awe simple asiyependa makuu
Mwenye mapenz ya kweli akizama kazama kwel kwel
kabila lolote
Dini yoyote
Elimu kuanzia form 4
Note.
mchagga ,mpare mbondei, msambaa will be an added advantage.
Karibuni.