Mwenyw hujui ata kuandka vzur cjui kama utakuwa na ngekewa hata kidogo
madem wa type yako wapo endlea kusubri atakuja mpaka mageton mwenyw akupe utakacho bureee.
Umeenda kanisani umekosa????
Umeenda kanisani umekosa????
Umeenda kanisani umekosa????
Kama sio mkristo je?
Labda ungemwelekeza ni Kanisa gani...
Mimi ni kijana mwenye miaka 34 natafuta mchumba mwenye sifa sifuatazo kwanza awe mcha mungu pili elimu ya kawaida tu asiwe mlevi.mwenye kubadilika kutokana na wakati.
Mwenye kupenda maendeleo disko hapana sitarehe zisizo za mahana hapana.kabila lolote.kama yuopo tayari acha namba au mawasiliano yoyote tutafutane.awe mwanamke mrembo
Umeenda kanisani umekosa????
Ndo sehemu y kupata wanawake ile ni sehemu y ibada,mahali patakatifu delete hiyo post yako.