Unafanya shughuli gani?..sio unataka demu halaf huwezi kumpa matunzo
ngoja nijaribu bahati kigezo kimojawapo nimepita
ngoja nijaribu bahati kigezo kimojawapo nimepita
NATAFUTA MPENZI,mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28...naishi mlandizi,kiukweli nahitaji msichana wa kudumu naye kwenye mapenzi.......awe mkristo....naitwa james.....0656411631
hee! Aisee kumbe upo single!
...ndogo wangu James ninakuonea huruma! wasichana wa Mitandaoni wamekubuhu' wengi wao wanataka vitu siyo watu! "wanahitaji vitu vya bei kali..." NInakushauri ukatafute kwingine, siyo mtandaoni...!
Hahahahah jaribu mumy yaweza kuwa bahati ya mtende kuota jagwani ati alafu usisahau mrejesho sawaee Heaven on Earth
nitumie vocha kwenye pm yangu ili nikupigie baba nijaribu bahati yangu!