Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Presida2020

Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
31
Reaction score
3
Ni kijana wa umri 28

Nipo hapa kutafuta binti umri 20-27 for future life.

Mimi ni muhitimu wa chuo na nimejiajili.

Natafuta binti form six nakuendelea, mkristo na aliye serious.

Kama upo tayari tukutane pm.
 
Mchumba vigezo huna hata assets pia hutaji?
hebu nambie mie tuoane...
 
Duuu hakuna vigezo kweli umetisha mkuu haya madada kaz ni kwenu hakuna usaili hapo ukiona haujaolewa utakuwa umependa mwenyewe
 
Njoo tuoane Evelyn tena nakusubiri kwa hamu, nipm uone mambo yngu
 
Last edited by a moderator:
NATAFUTA MKE
Ni kijana wa miaka 26naishi mbeya natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu asizid 23 miaka
sifa;awe mkiristo
.aishi popote tanzania
.awe anayatambua majukumu yake
.awe na upendo wa kweli
.mkweli na mwenye nidhamu
0756093879
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom