Mlio siliasi njooni huku uzi tayari.kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28 natafuta mpenzi alie siliasi katika mahusiano ili baadae tukijilizisha wote wawili tufunge ndoa nipo atakae kuwa tayar ani pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaahahahahahahah wapi huko mkuu? Kwa yule rafiki yako anayetafuta ka binti ka kule kwetu?
Ahahah. Kageuza mpira umekuja kwakoHahahahaahahahahahahah wapi huko mkuu? Kwa yule rafiki yako anayetafuta ka binti ka kule kwetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yamekuwa hayo tenaAhahah. Kageuza mpira umekuja kwako
Ahahah akijinyonga mm sipoYamekuwa hayo tena
Nenda kamwambie Mimi n kabinti ka mwenzie hahahahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Fursa kwa wale ambao wako siliasi tu mkuuFursa hiyo kina dada changamkieni
Ongea naye taratibu sitaki case hahahahahahahaahAhahah akijinyonga mm sipo
Kweli siliasi, sijui siliasi ni wapi eti
Aaaah sitak mm ndo ntakua mbaya na sio ww,
Yaan ndo najaribu kujiuliza hapa ngoja wale ambao wako siliasi wakija tutajua ndo wapi hukoKweli siliasi, sijui siliasi ni wapi eti
Kweli kabisa, maana hili litakuwa eneo jipyaYaan ndo najaribu kujiuliza hapa ngoja wale ambao wako siliasi wakija tutajua ndo wapi huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mvua ikinyesha tu, korodani zikipata baridi vijana wanatafuta wapenzi
Mvua ikinyesha tu, korodani zikipata baridi vijana wanatafuta wapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app