nikipata mnene mwenye mwili itakuwa safi
Sasa kuweka hiyo "kaka" ndo unataka awe dada yako au? Teh hongera kwa kuwa na mwiliDada yangu kipenzi Miss Natafuta ,
Natumai ombi lako limepata jibu...kipele kimepata mkunaji...kisima kimepata mchotaji...mtungi umepata kata.
Bila maneno mengi naomba kuwasilisha.
Wako,
Kaka Mentor.
Cc: RRONDO (kwa huyu naomba usiponde), Heaven Sent, atoto , Honey Faith Evelyn Salt ...
Sasa kuweka hiyo "kaka" ndo unataka awe dada yako au? Teh hongera kwa kuwa na mwili
Aah kumbesio nataka, ni dada yangu!
Dada yangu kipenzi Miss Natafuta ,
Natumai ombi lako limepata jibu...kipele kimepata mkunaji...kisima kimepata mchotaji...mtungi umepata kata.
Bila maneno mengi naomba kuwasilisha.
Wako,
Kaka Mentor.
Cc: RRONDO (kwa huyu naomba usiponde), Heaven Sent, atoto , Honey Faith Evelyn Salt ...
Shindwa!!Yeah... huyo kula kila kitu chake...
halafu siku hizi nimependeza yaani hadi boss wangu kaniambia eti niwe dereva wake ila najua ni wivu tu hataki kuniacha mahali !Dada yangu kipenzi Miss Natafuta ,
Natumai ombi lako limepata jibu...kipele kimepata mkunaji...kisima kimepata mchotaji...mtungi umepata kata.
Bila maneno mengi naomba kuwasilisha.
Wako,
Kaka Mentor.
Cc: RRONDO (kwa huyu naomba usiponde), Heaven Sent, atoto , Honey Faith Evelyn Salt ...
Mkuu unajitokeza unajua huyo anayehitaji Mpenzi ni Jinsia gani? au Mzee mzima hujali jinsia😀I'm here Mr
halafu siku hizi nimependeza yaani hadi boss wangu kaniambia eti niwe dereva wake ila najua ni wivu tu hataki kuniacha mahali !
achana nae hajitambui ngoja nijipumzishe wanaume wengi humu jf watu wazima ila hawajitambuiNaona mdau kaamua kuua thread yake mwenyewe maana na namba ya simu alikuwa ameweka.
Anyway...
achana nae hajitambui ngoja nijipumzishe wanaume wengi humu jf watu wazima ila hawajitambui