where are you?Habarani wadau....
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu natafuta mpenzi ambae baadae atakua mume wa maisha yangu.
Mimi ni binti wa miaka 27 ni mkristo elimu degree na nmeajiriwa.
Natafuta mwanaume mkristo na mwenye hofu ya Mungu, awe na a source of income, apende familia, preferably miaka 30 na kuendelea.
Kama nimewakwaza samahanini na karibuni.
Mkuu, sasa wewe unaweka sharti la a source of income kwenye uchumba, nilithani watu wakishaanza uchumba ndo waanza kuweka mikakati ya aina ya maisha watakayoishi pamoja, maana mwingine ukimkuta na mali anaweza kuamua kuwaachia wazazi wake na kuanza upya maisha. Halafu wewe kama Mkristu, unatakiwa pia kuweka sharti ya source of income halali, vinginevyo utapata ambaye ni fisadi/mwizi/jambazi halafu atafungwa na kukuacha peke yako.Habarani wadau....
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu natafuta mpenzi ambae baadae atakua mume wa maisha yangu.
Mimi ni binti wa miaka 27 ni mkristo elimu degree na nmeajiriwa.
Natafuta mwanaume mkristo na mwenye hofu ya Mungu, awe na a source of income, apende familia, preferably miaka 30 na kuendelea.
Kama nimewakwaza samahanini na karibuni.
nawewe uweke bandiko lako muda unaenda ujue?All the best mama. Mkifikia hatua ya ndoa usisahau mrejesho mrembo
Ili tuchangie harusi mweeAll the best mama. Mkifikia hatua ya ndoa usisahau mrejesho mrembo
Sio tuchangie ili twende banaIli tuchangie harusi mwee
Kwenda ni jambo la msingi sana [emoji108]Sio tuchangie ili twende bana
Jina: Valentinanawewe uweke bandiko lako muda unaenda ujue?
Kabisa... Ngoja tusubiri tu huo mwalikoKwenda ni jambo la msingi sana [emoji108]
heheh umri tu napiga u turnJina: Valentina
Umri: 79
Jinsia: KE
Wasifu wangu....
1. Umbo kabati
2. Mweusi
3. Mchoyo sana
4. Nina gubu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
1. Hand same
2. Mkarimu
3. Mwenye mali nyingi
4. Asiwe bahili
Umri 25_35