Natafuta mpenzi [msichana mzuri}

kila la kheri ukifanikiwa utatujulisha humu humu kama umepata mwenye makalio makubwaaaa, au wa miaka zaidi 35, au miaka 20! Ila inawezekana ukapata wawili kwa mpigo maana mwenye miaka 35 au zaidi hawezi kwa wakati huo huo kuwa na miaka 20....
 

Kaza buti kaka,utampata tu huyo umtakaye.
 
wanchekesha ...mbona kama hujitambui??? mara shugamami (35yrs), mara si chini ya miaka 20????

BTW sio kila king'aacho ni dhahabu na vizuri aghali. KAZI NI KWAKO
 
kijana una hatari mana hueleweki, nenda fb utawapata wengi sana.. take care
 
naeleweka sana ila ni nyie mnajikuta mmeelewa sana kuliko alie andika
 
mmmh kwani wew una miaka mingapi labda nianze na wewe ndo utaelewa namaana gani
 
kweli kazi Tunayo
Msichana Mzuri, Tena Miaka 35..Huyohuyo Awe Shugamami!

af huyo huyo awe chini ya miaka 20 na tena si chini ya miaka 18!
afanaleki kufa hakuna breki
soseji ah sorre sosi Asprin! (af nimmemissije saaasa)
 
Last edited by a moderator:
af huyo huyo awe chini ya miaka 20 na tena si chini ya miaka 18!
afanaleki kufa hakuna breki
soseji ah sorre sosi Asprin! (af nimmemissije saaasa)

Jamani Mbona Mnamisiana Wenyewe Tu, Mimi Je?
 
Last edited by a moderator:
mmmnh hii trend ya kutafuta mijimama inasikitisha anyway fair play....both parties knows what they want....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…