Habari wana JF.mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 34,elimu ya kidato cha sita,mkulima na mfugaji,maji ya kunde,mrefu,mkristo,mwelewa na mnyenyekevu,mpole,mpenda maendeleo kihalali.
Msichana ninayemtaka awe mpenzi wangu na hatimaye mke wangu awe na sifa zifuatazo;mwenye elimu ya kidato cha nne na kuendelea,mwenye mapenzzi ya dhati,mwelewa,mkarimu,mchacharikaji na mwenye kujitegemea,kabila lolote,dini awe mkristo ila dhehebu lolote,asiwe na mtoto,umri wowote lakini si chini ya miaka 22.
Mwenye kuvutiwa nami tafadhali naomba anitumie ujumbe binafsi (pm) nami nitamjibu mara moja.
N
Wasichana mnakaribishwa wote lakini sipendi na wala sitaki mabinti wenye mapenzi ya runinga.
kwa hiyo wasichana tu...wanawake hawahitajiki?
Na amemaanisha kabisa!
Natuimani wajua tofauti kati ya msichana na mwanamke!
Sasa mkuu kwa kuwa huna masharti makali, mdada msomi ktk kiwango cha masters inakuwaje?
Habari wana JF.mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 34,elimu ya kidato cha sita,mkulima na mfugaji,maji ya kunde,mrefu,mkristo,mwelewa na mnyenyekevu,mpole,mpenda maendeleo kihalali.
Msichana ninayemtaka awe mpenzi wangu na hatimaye mke wangu awe na sifa zifuatazo;mwenye elimu ya kidato cha nne na kuendelea,mwenye mapenzzi ya dhati,mwelewa,mkarimu,mchacharikaji na mwenye kujitegemea,kabila lolote,dini awe mkristo ila dhehebu lolote,asiwe na mtoto,umri wowote lakini si chini ya miaka 22.
Mwenye kuvutiwa nami tafadhali naomba anitumie ujumbe binafsi (pm) nami nitamjibu mara moja.
N
Wasichana mnakaribishwa wote lakini sipendi na wala sitaki mabinti wenye mapenzi ya runinga.
Hapa JF kuna majini,yakija utayajuaje?Mambo mengine bwana yaajabu sana.Mtakuja kuoa majini kwa upumbavu wenu.Huwezi kupata mke mwema JF,belive me.Tafuta kwenu au mtaani, mbona wapo.Make sure amekuwa confirmed kuwa na tabia nzuri.Anayejileta hafai.Mke mwema anatafutwa,hajileti.
uwiii....mi nimekupenda mpaka nimedondoka kutoka kaunta.....come this way sweet papaya.....
Uko wapi???
kwa hiyo wasichana tu...wanawake hawahitajiki?
Sasa mkuu kwa kuwa huna masharti makali, mdada msomi ktk kiwango cha masters inakuwaje?
uwiii....mi nimekupenda mpaka nimedondoka kutoka kaunta.....come this way sweet papaya.....
Nipo mwandiga - kigoma
Duh! Nimekupenda ghafla ila kigoma mbali sana! Na hivi usafiri wenyewe wa treni wakusua sua haya mahusiano yatakuwa magumu!!!