Matumaini yangu mko pouwaaa, na maandalizi ya sikukuu zilizo mbele yetu.
Mimi ni kijana miaka 27,
Ninaishi Dar es Salaam japo sio mzawa.
Ni Mkristo RC
Natafuta mpenzi aje kuwa mchumba mwenye sifa zifuatazo:
Umri miaka 23 hadi 26.
Elimu, sio chini ya kidato cha nne. Awe mkristo na mcha Mungu. Tabia iliyo njema.
Asiwe na mtoto ( single mother )
Bila kusahau, awe mrefu au wasita (asiwe mfupi)
Mwenye kujituma katika utafutaji (muajiriwa atapewa kipao mbele)
Ikikuingia akilini ukajiona unafaa basi unakaribishwa PM.