Acha basi π π πHuku JF wengi wastaafu na waume za watu dada
Huko mtaani hamna?
Dada tulia anatafuta mwanaume sio comments za wadada, huu ushauri wako kaa nao πHuku JF wengi wastaafu na waume za watu dada
Huko mtaani hamna?
Labda aibe babe wa mtu humu ila single hivhivi ni uongoAcha basi π π π
Single men wamejaa tele humu. Usiwabanie rizki π
Na wewe tangazo lako lini comradenakutakia kila la heri
Hivi wafupi waliwakosea nini?Mrefu wa kawaida
Harusi tunayo hatuna πππWewe hupendi watoto?
Una umri gani?