matunzo ziro
Member
- Oct 20, 2016
- 24
- 3
We una ngap Dada?Ivi JF kuna 18-20yrs?
Huhuuuuu ntake radhibado haujawa mume bali upo hatua ya mwanaume, ukikuwa uje utafute mke
mambo Ariana Grande?Ivi JF kuna 18-20yrs?
Yupo ila anataka umpeleke shule kwazaUmri wangu ni miaka 23 na ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kimoja hapa nchini.Ni mwanaume mchapa kazi na nwenye upendo wa dhati.Msichana nae muhitaji awe mdogo kiumri kiasi kuliko Mimi.
Kwa msichana yeyote mwenye sifa niliyoitaja tafadhari naomba ani PM
Kwann kaka?...kijana unataka kumshika sikio mbwa apitaye wewe...
Duuuuh...lakini sio mbaya wanaweza niozesha wajukuu wao teh!teh!Huku kuna bibi zako
Haina tatizo,Yupo ila anataka umpeleke shule kwaza
Akipatikana ntatongoza!!Tongoza mwenyewe kaka, usitake kutongozewa na JF