kweli na sisi wabongo ukishasema shida tu umeumiaa watu wanataka take advantage kwako..hamna kitu kibaya duniani kama shida
Mkuu jee hii nyumba ni yako?Habari zenu wanaJF,
Nina nyumba yangu mpya kabisa iko maeneo ya Mbezi Beach karibu na kota za B.O.T nyumba ina vyumba viwili masterbedrooms,sebule kubwa( sitting room),jiko( kitchen) ,baraza pamoja na car parking kubwa ya kutosha.
Nyumba iko ndani ya fensi na mazingira mazuri karibu na barabara na inajitegemea kwa kila kitu.
Nahitaji mpangaji wa mda mrefu kuanzia miaka miwili kuendelea na zaidi nina shida ya fedha taslimu nw kama 15 milion hivyo basi tunaandikishana mkatabavwa mda mrefu na kuwekeana mkataba wa miaka tutakayokubaliana na kukuachia nyumba ikiwa independent as we agreed.
Maelewano mengine yote tutaelewana tukikutana na kuafikiana baada ya kuiona nyumba.
I am very serious na yeyote atakayehitaji kupangisha kwa matumizi ya nyumbani o otherwise awasiliane kwa mawasiliano yafuatayo....0712 240 334.
Let it be serious na for the time we agree if possible there is a bonus of period to be offered to the client (customer).
Kwa yeyote asiyehitaji bughudha za wenye nyumba or any kind of disturbance and long term contract na kufanya mambo yake kwa uhuru this is the right place to stay.
Kodi halisi ya upangaji ni tsh 500,000 kwa mwezi.

Nimekutumia private msg please check ur inboxContact me through my details abve tudiscuss abt the situation........trplmike