katika vitu ambavyo unatakiwa usiwe mbahili ni monitor. sababu moja kwa moja inahusika na macho yako.
tafuta monitor nzuri led/lcd yenye resolution nzuri kama 1080p au ikishuka sana 900p na ukitafuta used zinapatikana hadi chini ya laki.
nenda machinga complex utapata za kila aina