Natafuta Moderm inayotumia Line zote!

Natafuta Moderm inayotumia Line zote!

Kuna kipindi Mdau mmoja aliweka tangazo anauza sasa sijui bado anazo!Ngoja atakuja tu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mimi ninayo ambayo inatumia line zote, in addition ni wireless router unaweza kutumia laptop hata tano! Ninaiuza laki mbili, kama unahitaji ni-PM
 
Kuna kipindi Ms Megji Electronics- wanapatikana karibu na Askari Monument - walikuwa wanauza elfu 30 modem
 
Nenda Ubungo, kituo cha mafuta cha oilcom, juu yapo maduka ya vifaa vya computer utazipata pale za kila aina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom