Natafuta mume

ndio wale wakiwa bado mabinti wanatabia ya kuchagua wanaume mwisho wa siku matokeo yake ndio haya
nakutakia kila la heri
 
Ukimchunguza sana Bata kwa uchafu alio nao hauwezi kutamani hata kumla , japo nyama yake ni tamu hakuna mfano.
Unataka Mume Unatoa Masharti kama yote Bado haujawa Serious.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom