Natafuta mme

Dogo umri wako bado mdogo unaweza kupata mwanaume ata asie na mtoto. Omba Mungu mme wako yupo anakusubiri. Omba akufunulie.
 

Ua4

Member, 44
Ua4 was last seen:
Today at 12:02 PM
  • About
    Birthday:
    Jan 31, 1972 (Age: 44)!!!!!!!!!!!!!!!!!!.........................???????????????????? Kikongwe wahedi.....
 

Ua4

Member, 44
Ua4 was last seen:
Today at 12:02 PM
  • About
    Birthday:
    Jan 31, 1972 (Age: 44)!!!!!!!!!!!!!!!!!!.........................???????????????????? Kikongwe wahedi.....
Wewe hii isikusumbue, mi nishakuambia kwenye post nina miaka 27, hiyo ni kwaajili ya kuficha mambo fulani fulani. Wee kama uko interestendi ungekuja PM labda tungeyajenga, tatizo umechelewa chelewa hapo mpaka mambo yameiva yamepakuliwa!
 
Baba yake na huyo dogo alikufa au yuko hai??
 
uko serious kaka?
 
Mie naomba hizi thread za kuomba mke/mume ziunganishwe zote kwa pamoja iwe sticky,kila anaetaka anam Pm anaempenda baasi
 
Kama kweri unaitaji Mme basi Mimi nipo maana nilisha post naitaji mke kama vigezo vyako
 
Unamtafuta mtu wa kumfanya HESLB. Nakuombea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…