beautiful princess
Member
- Jan 15, 2018
- 79
- 97
Ameen....mungu anatendaKila la kheri bwana. Mungu akufanyie wepesi katika hitaji lako
Okynimekupm namba umeiona?
Fanya kunitafuta kwa namba hiyo nimetuma sasaOky asante
Nimeipenda Avarta yakoKila la kheri bwana. Mungu akufanyie wepesi katika hitaji lako
SawaFanya kunitafuta kwa namba hiyo nimetuma sasa
Ushauri mzuri, kama upo serious na maisha yako uzingatie na kuufanyia kazi. Ukiupuuza utaujutia.Calm down kwanza lea mtoto wako akue my friend miezi 6 bado mdogo na pia hauna muda tangia umeachana na huyo baba mtoto wako
Humu utapata wanaume watakao kupa Stress hadi ujutie uamuzi wako hawato kuacha salama humu wanacho tanguliza ni kula dodo tuu alale mbele tena una mtoto mdogo hivyo komaa nae kwanza mtoto asije kuwa fundi viatu
Pia umri wako miaka 23 bado sana jipange uta vuka tuu hiyo mitihani na majaribu una pitia kila kitu kina pita hakuna kita baki milele
Asante kwa ushaur mzurMlee kwanza mtoto akue japo afikishe miaka miwili halafu ndio uanze kutafuta mume wa kukuoa.
Wakati huo natafuta mume jitahidi ujishughulishe na kazi yoyote ili uweze kupata cha kukizi mahitaji ya kila siku
Shukran mpendwaCalm down kwanza lea mtoto wako akue my friend miezi 6 bado mdogo na pia hauna muda tangia umeachana na huyo baba mtoto wako
Humu utapata wanaume watakao kupa Stress hadi ujutie uamuzi wako hawato kuacha salama humu wanacho tanguliza ni kula dodo tuu alale mbele tena una mtoto mdogo hivyo komaa nae kwanza mtoto asije kuwa fundi viatu
Pia umri wako miaka 23 bado sana jipange uta vuka tuu hiyo mitihani na majaribu una pitia kila kitu kina pita hakuna kita baki milele
Sali kwa Iman na Uwe na tumaini kuu utampata tu!Asante kwa ushauri wako
Huu ni unafki sema utazalishwaAmeen....mungu anatenda