Natafuta mme mwema

Wee tafuta tu huyo mume mwema, mimi nitakuwa mume mwenza
 
me niko tayari tatizo umri kama kweli umeokoka lkn kwann unahis humu ndo unaweza kumpata mume atakaekupenda?
 
je ikitokea umepata mtu hapa jf alafu mukapanga apointment then siku yakuonana unakutana na mwanaume aliekuzalisha utakubali akuoe?
 
huna sifa ya kujiita binti.achilia mbali umri.ulishagegedwa mpaka ukazaa unategemea utakua binti SEMA mama mwenye mtoto mmoja.ila ulie vunja nae amli ya 6.ndio wa kukuoa.maana miaka yako ni mingi sana.inaonekana tabia zako mbovu mpaka unakuja humu kutafuta wanaume alie kusalisha alikuona tabia zako mbaya.
 
We kama unataka mume mwema si uombe kwa Mungu akupatie mlokole mwenzio vinginevyo ulichofanya hapa umemleta mwakondoo kwa simba unategemea matokeo yake nini.
Mtafute mchungaj wako mwambie afu tpata ushaur mzur kama kwel uko na huitaj huoo
 
Mimi nina wake 3 , tuma picha yako kama unafaa utakuwa wa 4, mimi ni mpole na nina huruma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…