Natafuta Mme Mtu Mzima

Yule Lemutuzzzz anakufaa sana hana shida huwa anatafuna any mambebezzzzzz na anaweza akakuconnect na wastaafu
 
Wewe unamiaka mingapi? Unakwepa unyumba siyo?
 
Guys, yani comments zenu me hoi huku.

Eti unakwepa unyumba hahaha
Ale pensheni hahaha.
 
Khaa!! We nhc umergw kwan ultk Mme mait il uitw mjne au?! Ungsem hvi natafuta mume anayejitambua kwn anwez kuw mzm lkn acjtambue!!
 
Njoo kwangu Nina wake 6 wewe utakuwa wa 7.

Ila lazima ujue kulima wake zangu wote nimewapa mashamba ya mahindi,mpunga,maharage,alizeti wanalima Mimi silimi kazi yangu kukusanya mazao na kuuza ,nikishauza ninawapa ela ya kanga,vitenge,mafuta nk.,zilizobaki nazitunza Mimi baba mwenye mji.
 
Umri wako miaka 21,ila unahitaji mme mtu mzima.

Aisee.
 
Nina mashaka na huyu @QueenRover. She's only 21 years, post zake kibao sijui anachotaka hasa
 
Queen Rover, naona umebadili mawazo/masharti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…