nyaggad JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,160 Reaction score 694 Nov 3, 2016 #1 Natafuta mkulima wa maharage tuwasiliane kwa 0762508455!
Nyendeke JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 1,552 Reaction score 2,853 Nov 3, 2016 #2 nyaggad said: Natafuta mkulima wa maharage tuwasiliane kwa 0762508455! Click to expand... Kiongozi hebu weka nyama kidogo ili uweze kupata Mdau sahihi kwa wakati. Je, unaposema unahitaji Mkulima wa Maharage unamanisha unahitaji Mtu mwenye utaalamu wa Kilimo cha Maharage au Mtu yeyote anaelima Maharage?
nyaggad said: Natafuta mkulima wa maharage tuwasiliane kwa 0762508455! Click to expand... Kiongozi hebu weka nyama kidogo ili uweze kupata Mdau sahihi kwa wakati. Je, unaposema unahitaji Mkulima wa Maharage unamanisha unahitaji Mtu mwenye utaalamu wa Kilimo cha Maharage au Mtu yeyote anaelima Maharage?
nyaggad JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,160 Reaction score 694 Nov 3, 2016 Thread starter #3 Nahitaji mtu anaelima maharage!
M mayumbo Member Joined Oct 5, 2014 Posts 60 Reaction score 21 Nov 3, 2016 #4 Kwa ajili ya kumfanya nn na kutokea maeneo gani?
mkandumbwe JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 424 Reaction score 371 Nov 3, 2016 #5 nyaggad said: Natafuta mkulima wa maharage tuwasiliane kwa 0762508455! Click to expand... Kunywa maji mengi mpaka hangover yote ya maharage uliyojula leo iishe ndo uje hapa uandike tena tangazo kama mtu aliyewahi kuona vitabu.
nyaggad said: Natafuta mkulima wa maharage tuwasiliane kwa 0762508455! Click to expand... Kunywa maji mengi mpaka hangover yote ya maharage uliyojula leo iishe ndo uje hapa uandike tena tangazo kama mtu aliyewahi kuona vitabu.