Natafuta mke

Natafuta mke

makmugani

Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
37
Reaction score
6
Habari wana JF,

Mimi ni kijana wa kiume nahitaji mke wa kuowa mwenye sifa zifuatazo,

Mweusi na mrefu wastani na unene wa kati.

Elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima UKIMWI kabla ya yote.

Mimi nafanya kazi katika taasisi moja ya fedha hapa Dar.
 
Habari wana jf, Mimi ni kijana wakiume nahitaji mke wa kuowa mwenye sifa zifuatazo, mweusi na mrefu wastani na unene wa Kati, elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima Ukimwi kabla ya yote. Mimi nafanya kazi katika taasisi moja ya fedha hapa Dar.

Okay, ingia kwenye jukwani la mapenzi na mahusiano ndani yake kuna kijukwaa kidogo kinaitwa Love connect hapo ndio penyewe pa kuweka hii mada yako.
 
Peleka mada yako kwenye jukwaa stahiki ndio unafanya kwenye tasisi ya fedha unashindwa kujitambua
 
Habari wana JF,

Mimi ni kijana wa kiume nahitaji mke wa kuowa mwenye sifa zifuatazo,

Mweusi na mrefu wastani na unene wa Kati.

Elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima UKIMWI kabla ya yote.

Mimi nafanya kazi katika taasisi moja ya fedha hapa Dar.

hii sentensi sidhani kama itakupatia mke mwema!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom