M malebeto Member Joined Jul 6, 2015 Posts 14 Reaction score 0 Jul 7, 2015 #1 Umri wangu 28 nina kazi yenye kipato cha kukidhi,natafuta mwanamke mwenye kuanzia miaka 22-25,awe mzuri,sibagui rangi, kabila, kipato ila dini awe mkiristu.
Umri wangu 28 nina kazi yenye kipato cha kukidhi,natafuta mwanamke mwenye kuanzia miaka 22-25,awe mzuri,sibagui rangi, kabila, kipato ila dini awe mkiristu.
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,274 Jul 7, 2015 #2 Siku hizi mke hatafutwi. Unachukua tu umpendaye
E elishadad Member Joined Jul 3, 2015 Posts 91 Reaction score 10 Jul 7, 2015 #3 kwa kuwa unakipato cha kukidhi utampata msaka noti ni c mwny mapenz ya kwl.