W winmulu Member Joined Apr 21, 2015 Posts 40 Reaction score 8 May 5, 2015 #1 Mimi ni mwanaume nimesoma na nimeajiriwa serikalini. Ninatafuta mwanamke aliye tayari kuolewa na kulea familia. Mimi nina umri wa miaka 30. Aliye tayari ani Pm
Mimi ni mwanaume nimesoma na nimeajiriwa serikalini. Ninatafuta mwanamke aliye tayari kuolewa na kulea familia. Mimi nina umri wa miaka 30. Aliye tayari ani Pm
M mdocho Member Joined May 2, 2015 Posts 28 Reaction score 8 May 5, 2015 #2 Na Mimi jamani natafuta mke ,Mimi ni kijana wakiume ninaunri wa miaka 32 sina mke wala mtoto namtafuta mke mwenye umri kati ya miaka 26 hadi 28 aciwe mweupe awe mweusi wa kunga'aa anbaye yupo tayali ani pm!
Na Mimi jamani natafuta mke ,Mimi ni kijana wakiume ninaunri wa miaka 32 sina mke wala mtoto namtafuta mke mwenye umri kati ya miaka 26 hadi 28 aciwe mweupe awe mweusi wa kunga'aa anbaye yupo tayali ani pm!
Angelicious JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 869 Reaction score 499 May 5, 2015 #3 winmulu Dadafua vigezo mchumba mfano; umri, dini n.k. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,344 Reaction score 829,495 May 5, 2015 #4 winmulu mdocho Hili ni jambo la kheri tunawaombea mpate wenza wema mtakaokuwa na familia bora. Hii itakuwa ni sifa kubwa kwa wanajamii na wamiliki wa JF Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
winmulu mdocho Hili ni jambo la kheri tunawaombea mpate wenza wema mtakaokuwa na familia bora. Hii itakuwa ni sifa kubwa kwa wanajamii na wamiliki wa JF
M mdocho Member Joined May 2, 2015 Posts 28 Reaction score 8 May 5, 2015 #6 Nanafanya kazi na shilika moja private hapa mjini chamsingi nataka mpenzi nikaye mpata awe tayali kwenda kupima afya zetu!!!
Nanafanya kazi na shilika moja private hapa mjini chamsingi nataka mpenzi nikaye mpata awe tayali kwenda kupima afya zetu!!!
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 May 5, 2015 #7 mdocho said: Nanafanya kazi na shilika moja private hapa mjini chamsingi nataka mpenzi nikaye mpata awe tayali kwenda kupima afya zetu!!! Click to expand... shilika ?ndo kiswahili gani
mdocho said: Nanafanya kazi na shilika moja private hapa mjini chamsingi nataka mpenzi nikaye mpata awe tayali kwenda kupima afya zetu!!! Click to expand... shilika ?ndo kiswahili gani
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,344 Reaction score 829,495 May 5, 2015 #9 joy4v said: MM nipo tayari Click to expand... Seriously joy4v? Mpandie PM Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
J joy4v Member Joined Apr 15, 2015 Posts 20 Reaction score 1 May 5, 2015 #11 Mshana Jr nielekeze huko PM
victor moshi JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 829 Reaction score 1,064 May 5, 2015 #12 joy4v said: Sikujui huko PM Click to expand... Hahahahahaha nifah hebuu mwelekeze pm ni wapii. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,410 Reaction score 82,323 May 5, 2015 #13 victor moshi said: Hahahahahaha nifah hebuu mwelekeze pm ni wapii. Click to expand... Sijui hata nimsaidiaje huyo joy4v Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
victor moshi said: Hahahahahaha nifah hebuu mwelekeze pm ni wapii. Click to expand... Sijui hata nimsaidiaje huyo joy4v
J joy4v Member Joined Apr 15, 2015 Posts 20 Reaction score 1 May 5, 2015 #14 Nisaidieni kwakua nineongea ukweli sikujui PM
asubuhi sana JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 1,669 Reaction score 1,418 May 5, 2015 #15 Mmmh! Waoaji waweke sura zao !, kama za scratch huyu joy4v aache kusumbuka
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 May 5, 2015 #16 mshana jr said: Hili ni jambo la kheri tunawaombea mpate wenza wema mtakaokuwa na familia bora. Hii itakuwa ni sifa kubwa kwa wanajamii na wamiliki wa JF Click to expand... Hivi hakuna tozo lolote libaki JF kama appreciation fee?
mshana jr said: Hili ni jambo la kheri tunawaombea mpate wenza wema mtakaokuwa na familia bora. Hii itakuwa ni sifa kubwa kwa wanajamii na wamiliki wa JF Click to expand... Hivi hakuna tozo lolote libaki JF kama appreciation fee?
J joy4v Member Joined Apr 15, 2015 Posts 20 Reaction score 1 May 5, 2015 #17 Hahahahahahaha we asubuhi sana ww
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 May 5, 2015 #18 joy4v said: Mshana Jr nielekeze huko PM Click to expand... Subiri mgomo uishe nitakuelekeza upande dala dala za wapi na wapi ushukie!
joy4v said: Mshana Jr nielekeze huko PM Click to expand... Subiri mgomo uishe nitakuelekeza upande dala dala za wapi na wapi ushukie!
asubuhi sana JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 1,669 Reaction score 1,418 May 5, 2015 #20 joy4v said: Hahahahahahaha we asubuhi sana ww Click to expand... Eeeh ukweli et utakuta kazeeka ~ jua ukiambiwa na miaka 30 wee ongeza mitano ya kupunguza kwake
joy4v said: Hahahahahahaha we asubuhi sana ww Click to expand... Eeeh ukweli et utakuta kazeeka ~ jua ukiambiwa na miaka 30 wee ongeza mitano ya kupunguza kwake