Yupo Dar. Kafiwa mara ya pili juzi. Marehemu wake kazikwa leo Lituhi, Mbinga. Ni Baba TOT. Binti bado mbichi wa miaka hiyo unayotaka. Ila ana kesi ya kuua bila kukusudia.
hivi kwani ni lazima kucoment kila uzi jamani???
Fika kituo chochote cha polisi karibu nawe uripoti kupotelewa na mkeo...
Polisi watakusaidia kumtafuta...
alipotea kumbe
Yupo Dar. Kafiwa mara ya pili juzi. Marehemu wake kazikwa leo Lituhi, Mbinga. Ni Baba TOT. Binti bado mbichi wa miaka hiyo unayotaka. Ila ana kesi ya kuua bila kukusudia.
Ooh really...ungejiita siafu mke bora. Maaana unajibu yasiyokusu. Ukipiga kimya utapungua ninikwani ukipiga kimya utaumwa..? tuache huu ushamba
hata wewe mtu mzima unakuwa ka motto bana
haya ww mjanja...ila huku ni kuharibu nyuzi za watu bila sababu ni ka utoto flani hivi wa kipumbavuOoh really...ungejiita siafu mke bora. Maaana unajibu yasiyokusu. Ukipiga kimya utapungua nini
....kuwa maturedKwani wewe mtu nusu?
....kuwa matured
haya ww mjanja...ila huku ni kuharibu nyuzi za watu bila sababu ni ka utoto flani hivi wa kipumbavu
Have a great day....once you grow up we will grow