Natafuta mke

DAVE2014

Member
Joined
Aug 27, 2014
Posts
31
Reaction score
11
Habari. Mimi ni kijana wa miaka 29 naishi Kinyerezi nafanya kazi kwenye kampuni binafsi, natafuta binti awe mchumba ambaye atakuwa mke baada ya kufanya taratibu zote.

Awe na sifa zifuatazo

Umri wake usizidi miaka 33
Awe anafanya kazi ama biashara
maji ya kunde au mweupe
akiwa na mtoto mmoja pia haina tatizo


Ni PM kama unahitaji mume mtulivu, mtaratibu na mwenye upendo wa dhati, mpenda watoto, mcha mungu na mwenye bidii ya maisha.
 
Kwenye kampuni binafsi hapo hawapo? au wote bosi wako ndo anakaza?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…