mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Kwa miaka uliyo itaja walio wengi wako vyuo au wanafanya interns...... Nakushauri jaribu kujichanganya sana kama wewe ni biomedical engineer
mmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Vipi tena mbona miguno???
Ninatafuta mke sifa ninazotaka
- Awe ni doctor au ni mwanafunzi wa MD
- umri 23-28
-rangi haijalishi ila itakuwa vizuri akiwa maji ya kunde
-dini sichagui( akiwa muislamu itakuwa vizuri zaidi)
- umbo saizi ya kati( yani asiwe mnene wala mwembamba sana)
- sichagui kabila ( ila itakuwa vizuri akiwa ni mtu wa tanga)
Sifa zangu:
-Muajiriwa serikalini( engineer)
-Mrefu mweusi
-Mwembamba
- Muhaya
- Muislamu
KAMA UKO NA SIFA ZA HAPO JUU PM. NAOMBA NIELEWEKE NATAFUTA MKE NA SIO GIRLFRIEND.
Asanteni
Nenda kaweke matangazo MUHAS
huwa unasumbuliwa na magonjwa ya mara kwa mara??
Una mapenzi na madaktari ha ha haahaha!! mkuu hakuna kitu kama hicho, ni mapenzi tu...
hizo sifa ni balaaaaa
Una mapenzi na madaktari ha ha vhaa
Mapenzi yangu kwa hawa wadada ni hatari! sijui hata nielezee vipi?! we ni doctor au mwanafunzi wa MD??? jibu faster nianze kuapply...
Ha ha ha mimi sio daktari wala mwanafunzi wa MD!
Eehhhh haya Nina mdogo wangu Kama Akiwa teyari nitakuambia
Huo sasa utani. mpk awe tayari lini???