Natafuta Mke

Natafuta Mke

fergie

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
280
Reaction score
127
Habari wana jf

Mimi kijana wa miaka 27 naishi dsm na nimeajiriwa na kampuni moja ya ujenzi.

Natafuta mwanamke wa kuoa kwa sasa umri wake usiwe chini ya miaka 20,haijalishi km ameajiriwa au la as long as tutapata muda wa kufahamiana nkavutiwa na tabia yake ntamuoa.

TUWASILIANE PM KWA YULE ATAKAE KUWA TAYARI.

ASANTENI.
 
Vigezo na mashart huzingatiwa hujawaambia dini gani?nawewe dini gani.

All the best mkubwa
 
Mm mkristo lkn dini sio kigezo kikubwa sana cz tutafikia makubaliano mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom