jaffari odhiambo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 526
- 13
Unamtafuta mke? Kwani amepotelea wapi? Je umeshatoa taarifa katika kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe? Umeshatoa taarifa kwa ndugu na majirani endapo watamuona waweze kukupa taarifa? Wakati anapotea alivalia nguo rangi gani ili tumuonapo tuweze kukupa taarifa.Natafuta mke wa kuoa mwenye tabia nzuri. Huyo mke awe na rangi yake ya Asili sio ya kutumia cream. Sichagui rangi,awe na elimu angalau ya form four. Umri wake uwe kati ya 20 - 30. Awe mpenda watu na asiwe anatumia pombe,sigara,bangi, mirungi, na mengineyo. Asiwe anavaa nusu uchi pia awe #mwisilam . kabila lolote na awe anatoka mikoa ya #MARA_MWANZA_KAGERA_SHINYANGA Aliye tayari tuwasiliane kwa namba hii 0765751413. Napatikana whatsApp kwa namba hiyo hapo juu. Mimi napatikana Bunda-Musoma.
Call.0789319829
Unamtafuta mke? Kwani amepotelea wapi? Je umeshatoa taarifa katika kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe? Umeshatoa taarifa kwa ndugu na majirani endapo watamuona waweze kukupa taarifa? Wakati anapotea alivalia nguo rangi gani ili tumuonapo tuweze kukupa taarifa.
Dah! Ndo nimekosa mume hivihivi !!
Mkuu kama umeelewa vizuri heading ya huyo jamaa, ni kwamba anatafuta mke! Maana yake alishakuwa na mke lakini amepotea kwa hiyo yuko katika process ya kumtafuta mkewe. Kwa hiyo atakayemuona ampe taarifa.Kwanini usitafute mchumba halafu ukiona anafaa ndio umuoe awe mke? sasa wewe unatafuta mke inamaana hapo unatafuta aliyeachika? au unataka uwe mume wa pili?
Mkuu kn dada anatft mume, nliona post yk, ngoja namalizia kumpk kucha rng yf afu ntakutajia jn
Mkuu kama umeelewa vizuri heading ya huyo jamaa, ni kwamba anatafuta mke! Maana yake alishakuwa na mke lakini amepotea kwa hiyo yuko katika process ya kumtafuta mkewe. Kwa hiyo atakayemuona ampe taarifa.
Kwani umejichubuaa acha kumbaniaaa!!!!