Natafuta mke

Natafuta mke

ABINALA

Senior Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
134
Reaction score
55
ni mwanaume 29,elimu yangu chuo kikuu,si mnene,urefu wangu ni futi 5.2,mkristo,natufuta mwenza wa maisha elim kuanzia4-
 
Kutana na Mary 0713002250 anafanya biashara maeneo ya Sinza. ni mnene kiasi na ana mtoto
 
Hizo vigezo hata sokwe anavyo,Taja account yako nono kiasi gani,unamiliki miradi mingapi na magari mangapi uone watakavyokupapatikia mwanaume....!!
 
Masikio hayazidi kichwa katika mlima Moria Mungu atatoa! ili dhahabu ing'ae lazima iunguzwe sana! MMU ...dhiki tupu! bye
 
Doez LOVE measured by project,money? carz? or...?somehow...But LET IT GO!!!
 
Masikio hayazidi kichwa katika mlima Moria Mungu atatoa! ili dhahabu ing'ae lazima iunguzwe sana! MMU ...dhiki tupu! bye
 
mbona vigezo hujaweka? nataka nikuunganishe na binti miaka 28 elimu kamaliza law school. mrefu, mweusi. kama yuko 18 zako semaga.
 
Awe na age kuanzia 21-26,Urefu 5+ft asizidi 6ft.rangi yoyote,kabila lolote,mkristo,mwenye hekima,elimu 4m4kuendelea(mke)
 
We we ni Kibetu kweli yaani ujitangaze humu umelika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom