F Fasta Member Joined Aug 20, 2012 Posts 23 Reaction score 4 Jul 2, 2013 #1 Mm ni mwanaume,umri wangu miaka 45,najitokeza nikiwa na dhamira kubwa ya kutafuta mke.
C Cynthia Chriss JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 478 Reaction score 241 Jul 2, 2013 #2 karibu sana jamani mbona sasa umeandika kwa woga hivyo me nina 43 sitanii,nafaa jamani ?
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Jul 2, 2013 #3 Cynthia Chriss said: karibu sana jamani mbona sasa umeandika kwa woga hivyo me nina 43 sitanii,nafaa jamani ? Click to expand... Kaandika kwa upole anaficha makucha, subiri ayaachie!
Cynthia Chriss said: karibu sana jamani mbona sasa umeandika kwa woga hivyo me nina 43 sitanii,nafaa jamani ? Click to expand... Kaandika kwa upole anaficha makucha, subiri ayaachie!
C Cynthia Chriss JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 478 Reaction score 241 Jul 2, 2013 #4 happiness win said: Kaandika kwa upole anaficha makucha, subiri ayaachie! Click to expand... umejuaje?halafu hawa unakuta wana nanii kama nini
happiness win said: Kaandika kwa upole anaficha makucha, subiri ayaachie! Click to expand... umejuaje?halafu hawa unakuta wana nanii kama nini
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Jul 2, 2013 #5 Cynthia Chriss said: umejuaje?halafu hawa unakuta wana nanii kama nini Click to expand... We hushangai miaka 45 ndio anatafuta mke??? mmmh majanga tu hapo
Cynthia Chriss said: umejuaje?halafu hawa unakuta wana nanii kama nini Click to expand... We hushangai miaka 45 ndio anatafuta mke??? mmmh majanga tu hapo
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Jul 2, 2013 #6 happiness win said: We hushangai miaka 45 ndio anatafuta mke??? mmmh majanga tu hapo Click to expand... Kwani happiness win hutafuti mume? Huwa naku-love kidizaini.
happiness win said: We hushangai miaka 45 ndio anatafuta mke??? mmmh majanga tu hapo Click to expand... Kwani happiness win hutafuti mume? Huwa naku-love kidizaini.
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Jul 2, 2013 #7 saudari said: Kwani happiness win hutafuti mume? Huwa naku-love kidizaini. Click to expand... Unanilove mimi au hii avator yangu?
saudari said: Kwani happiness win hutafuti mume? Huwa naku-love kidizaini. Click to expand... Unanilove mimi au hii avator yangu?
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,091 Reaction score 165,233 Jul 2, 2013 #8 Fasta said: Mm ni mwanaume,umri wangu miaka 45,najitokeza nikiwa na dhamira kubwa ya kutafuta mke. Click to expand... nna miaka 20 nafaa?
Fasta said: Mm ni mwanaume,umri wangu miaka 45,najitokeza nikiwa na dhamira kubwa ya kutafuta mke. Click to expand... nna miaka 20 nafaa?
Mdia Member Joined May 8, 2013 Posts 83 Reaction score 13 Jul 2, 2013 #9 fasta mi nina miaka 28 vp ntakufaa? ckutanii
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Jul 2, 2013 #10 happiness win said: Unanilove mimi au hii avator yangu? Click to expand... Natamani unikumbatie hivi jamani happiness win nana unanichumu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
happiness win said: Unanilove mimi au hii avator yangu? Click to expand... Natamani unikumbatie hivi jamani happiness win nana unanichumu.
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Jul 3, 2013 #11 saudari said: Natamani unikumbatie hivi jamani happiness win nana unanichumu. Click to expand... vua basi hilo sweta lako nikupe hug ya nguvu
saudari said: Natamani unikumbatie hivi jamani happiness win nana unanichumu. Click to expand... vua basi hilo sweta lako nikupe hug ya nguvu
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Jul 3, 2013 #12 happiness win said: vua basi hilo sweta lako nikupe hug ya nguvu Click to expand... Si unajua sijavaa vest ndani hivyo nikuvua sweta tu kifua chote nje.
happiness win said: vua basi hilo sweta lako nikupe hug ya nguvu Click to expand... Si unajua sijavaa vest ndani hivyo nikuvua sweta tu kifua chote nje.
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jul 3, 2013 #13 am too old for this? 45...mmmmh dah shikamoo nyingi sana hapo