Mimi naitwa Hassan Said ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari umri wangu ni miaka 34,urefu sm170,na Elimu ni ya chuo sijawahi kuoa na sina mtoto .Najitokeza kutafuta mchumba ambae atayekuja kuwa mke wangu.Awe muislamu,umri kuanzia miaka 22 mpaka 28,Elimu angalau kuanzia kidato cha nne,awe mrefu kuanzia sm 170 na kuendelea, awe serious katika suala hili.Namba za simu ni 0762269874 na 0712050224 au unaweza kunitumia barua pepe kupitia hassansaid2010@hotmail.com au hassansaid1040@yahoo.com,Asanteni
Unatafuta mke au majuto? Tudada twa humu ndio hutu tunakobadilishana maujanja juu ya namna gani wafanye ili watongozwe zaidi na wanaume wanapopita njiani. Kwani ukitega msikitini unakosali huwezi kupata jembe la maana?