Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
Nitamtunza mke wangu ndo usingizi wanguMtoto mweupeee unataka...
Umtunze, maana wanachokaga mapema..
Kila la heri
Asante mkuu naendelea kuchukuwa maoniWanyantuzu naona huwa weupe wengi wapo bariad sana japo sijathibitisha ila nimekutana na wanyantuzu wengi weupe
Sawa mkuu nakungojaKuna sehem nilipita sijui ni wilaya gani ila ile sehemu ilipelekwa simiyu kuna watoto weupe.. ngoja nitakurejea mkuu nikusaidie
Huyu hapa anaitwa MZURI SANA anakutafuta mie nimeamua kuwa connect[emoji116][emoji116]Wakuu salamu kwenu,
Mimi naishi mwanza nataka niende shinyanga nikajipatie mke msukuma
Naomba kuuliza kwa anaye pafahamu vizuri shinyanga ni wilaya gani au kijiji gani kuna mabinti weupe
Maswi-- Shishiyu- Bukingwa minziSawa mkuu nakungoja
Huyo ni mwanaume mwenzetu anatuchawia tu humu if mwishowe atadinywa masikiniHuyu hapa anaitwa MZURI SANA anakutafuta mie nimeamua kuwa connect[emoji116][emoji116]View attachment 2802782
Mimi ntapata mmojaUkipata wawili nipasie moja hii mvua nyeto tu haitoshi
Huwezi jua mzee we penya penya humoMimi ntapata mmoja
Ni maswa mkuu auMaswi-- Shishiyu- Bukingwa minzi
Iipo simiyu sahiv sasa
Wapo tena wanaolewa kwa ngombe hata 12 nimesoma Advance huko niliyaona haya😃Usukumani watoto weupe watoke wapiii?? Nenda kanda ya kati.