Mikepoti Senior Member Joined Jun 5, 2014 Posts 101 Reaction score 136 Jan 16, 2023 #1 Mimi ni kijana wa miaka 32; ~ Urefu 170 cm. ~ Kabila mchaga. ~ Elimu Shahada. ~ Single father. ~ Mfanyabiashara. Mke awe na sifa; ~ Elimu kuanzia form 6. ~ Miaka mwisho 27. ~ Awe maji ya kunde.
Mimi ni kijana wa miaka 32; ~ Urefu 170 cm. ~ Kabila mchaga. ~ Elimu Shahada. ~ Single father. ~ Mfanyabiashara. Mke awe na sifa; ~ Elimu kuanzia form 6. ~ Miaka mwisho 27. ~ Awe maji ya kunde.
Mikepoti Senior Member Joined Jun 5, 2014 Posts 101 Reaction score 136 Jan 16, 2023 Thread starter #2 Mikepoti said: Mimi ni kijana wa miaka 32 Urefu 170 cm Kabila mchaga Elimu Shahada Single father Mfanyabiashara Mke awe na sifa Elimu kuanzia form 6 Miaka mwisho 27 Awe maji ya kunde Chek me PM Click to expand...
Mikepoti said: Mimi ni kijana wa miaka 32 Urefu 170 cm Kabila mchaga Elimu Shahada Single father Mfanyabiashara Mke awe na sifa Elimu kuanzia form 6 Miaka mwisho 27 Awe maji ya kunde Chek me PM Click to expand...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,179 Reaction score 829,141 Jan 16, 2023 #3 Mikepoti said: Mimi ni kijana wa miaka 32 Urefu 170 cm Kabila mchaga Elimu Shahada Single father Mfanyabiashara Mke awe na sifa Elimu kuanzia form 6 Miaka mwisho 27 Awe maji ya kunde Chek me 0765902229 Click to expand... Hawa wake wa kutafuta mitandaoni wana shida zao zilizojificha sana! Makinika
Mikepoti said: Mimi ni kijana wa miaka 32 Urefu 170 cm Kabila mchaga Elimu Shahada Single father Mfanyabiashara Mke awe na sifa Elimu kuanzia form 6 Miaka mwisho 27 Awe maji ya kunde Chek me 0765902229 Click to expand... Hawa wake wa kutafuta mitandaoni wana shida zao zilizojificha sana! Makinika
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,308 Reaction score 32,790 Jan 19, 2023 #4 Ngoja waje
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Jan 19, 2023 #6 Mikepoti said: Mimi ni kijana wa miaka 32 Urefu 170 cm Kabila mchaga Elimu Shahada Single father Mfanyabiashara Mke awe na sifa Elimu kuanzia form 6 Miaka mwisho 27 Awe maji ya kunde Chek me 0765902229 Click to expand... Hauko serious. Umeangalia mtaani kwako ukakosa ? Umeangalia classmates wako wa primary, O level, A level na chuo ukakosa ? Umeangalia hata maeneo unayofanyia kazi ukakosa ? Umetembelea hata sokoni na kanisani ukakosa ? Kwenye harusi za wenzako je nako ulikosa wasichana ? Umepanda mwendokasi walau a week ukakosa watoto wazuri? Kwa Mwamposa umeshindwa kwenda ??? Acha uzembe.
Mikepoti said: Mimi ni kijana wa miaka 32 Urefu 170 cm Kabila mchaga Elimu Shahada Single father Mfanyabiashara Mke awe na sifa Elimu kuanzia form 6 Miaka mwisho 27 Awe maji ya kunde Chek me 0765902229 Click to expand... Hauko serious. Umeangalia mtaani kwako ukakosa ? Umeangalia classmates wako wa primary, O level, A level na chuo ukakosa ? Umeangalia hata maeneo unayofanyia kazi ukakosa ? Umetembelea hata sokoni na kanisani ukakosa ? Kwenye harusi za wenzako je nako ulikosa wasichana ? Umepanda mwendokasi walau a week ukakosa watoto wazuri? Kwa Mwamposa umeshindwa kwenda ??? Acha uzembe.
Sandy360 Senior Member Joined Nov 7, 2022 Posts 152 Reaction score 211 Feb 16, 2023 #7 Sasa na elimu yangu ya drsa la 7 b ndio nimeshakosa mume