Natafuta mke

Natafuta mke

AmarokB

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
893
Reaction score
753
Kama title inavojieleza hapo, natafuta mwanamke atakaekua mpenzi na mwisho wa siku mke wa ndoa..

SIFA
Umri: Miaka 20 - 23
Dini: Mkristo itapendeza zaidi lakini si lazima sana
Elimu: Siangalii sana, kikubwa awe na uelewa tu wa ulimwengu tulionao Sasa.
Rangi: Mweupe
Urefu: Mrefu wa wastani
Mwili: Mwembamba
Kabila: Sichagui
Awe ameajiriwa, amejiajiri au hana ajira fresh tu

Mimi: Mrefu, mweusi, Mwembamba, Mkristo, muajiriwa wa serikali, Miaka 27. Kama uko interested karibu PM tufahamiane zaidi
 
Kaka pesa ya serikali tamu sana ila ule wetu wa magereza umeutelekeza fanya kuja bac

Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom