Rahimu kiwani
Member
- Jun 14, 2022
- 58
- 49
Mbona makasirikio kamanda? [emoji16][emoji16][emoji16]Toa sifa zako!
Hutaki kibonge afu una kutambi kama mimba
Unataka mweupe wakati wewe mweusi
Umesoma???
Mke atafutwi mtandaoni acha upumbavu
Mijinga kama nyie ndio mnatukwamisha, mnakuwa primitives sana , sasa unadhani mtandao hauna mchango wa kupata mke?Toa sifa zako!
Hutaki kibonge afu una kutambi kama mimba
Unataka mweupe wakati wewe mweusi
Umesoma???
Mke atafutwi mtandaoni acha upumbavu
Hahha wewe ndio upo primitive mkuu! Hiyo ndoa haiwez kudumu wala huwezi kupata mtu sahihi, labda kama unataka mzinzi mwenzakoMijinga kama nyie ndio mnatukwamisha, mnakuwa primitives sana , sasa unadhani mtandao hauna mchango wa kupata mke?
Njoo pmMaskini chibonge mimi
Na uchibonge huu mlango wa kuingilia pm sipitiNjoo pm
Hili baridi ndio limesababisha yote haya. Kila la heriHabari zenu ndgu jamii forum, nia ya kuandika uzi huu hapa, ni kutoa attention juu ya mada ya hpo juu , haja yangu kupata mke wa maisha ambae atakua ni mbora w maisha yangu, kwa mawasiliano zaidi waweza kunitafuta kupitia wasap namba +255773120431.
Hii namba anitafute ambae yupo tayari na hiyo jambo vinginevyo kama unaona haikuhusu basi usihangaike nayo, kigezo/ vigezo: awe mweupe au mng'avu, awe na umri kuanzia 25-28, awe amesoma level kuanzia form four had chuo , asiwe chibonge, asiwe mfupi, Dini yeyote ila awe tayari kunifata ktk dini yangu. Karibuni sana...... ..........[emoji3578][emoji120]
Una akili mbovu kabisa we kijana,Hahha wewe ndio upo primitive mkuu! Hiyo ndoa haiwez kudumu wala huwezi kupata mtu sahihi, labda kama unataka mzinzi mwenzako
Afu acha kujibu kwa mhemuko! Nyie ndio mijinga inayo ongea bila kujua taratibu za kutafuta mke
Umri sio akili
Wewe hujitambui
Au fanya akuoe tujue ndoa yako ulipata mtandaoni
Firsa ishakupitaMaskini chibonge mimi
So sad!Firsa ishakupita
hahahahaaaa!!Maskini chibonge mimi
We Mwana unaakili sana unatumia mitandao kwa faida binafsi pia, Siyo hawa wapiga zogo. Ushapata wangapi?Habari zenu ndgu jamii forum, nia ya kuandika uzi huu hapa, ni kutoa attention juu ya mada ya hpo juu , haja yangu kupata mke wa maisha ambae atakua ni mbora w maisha yangu, kwa mawasiliano zaidi waweza kunitafuta kupitia wasap namba +255773120431.
Hii namba anitafute ambae yupo tayari na hiyo jambo vinginevyo kama unaona haikuhusu basi usihangaike nayo, kigezo/ vigezo: awe mweupe au mng'avu, awe na umri kuanzia 25-28, awe amesoma level kuanzia form four had chuo , asiwe chibonge, asiwe mfupi, Dini yeyote ila awe tayari kunifata ktk dini yangu. Karibuni sana...... ..........[emoji3578][emoji120]
Antonnia mbona unampea smile sana uyu Mkuu nimekustukia[emoji12]hahahahaaaa!!
Kazi kweli kweliHahha wewe ndio upo primitive mkuu! Hiyo ndoa haiwez kudumu wala huwezi kupata mtu sahihi, labda kama unataka mzinzi mwenzako
Afu acha kujibu kwa mhemuko! Nyie ndio mijinga inayo ongea bila kujua taratibu za kutafuta mke
Umri sio akili
Wewe hujitambui
Au fanya akuoe tujue ndoa yako ulipata mtandaoni