Wengi watakao kwambia hapo sjui pamenikosesha vigezo ni wachoraji tu hawana shida hawana lolote subiri komenti kama hizo zikija
Bila kusahau zile za huko mtaani umekosa mtu utakutana nazo nyingi tu
Kila LA heri kama yatajitokeza achana na hao mazafaka